Origin: Unknown
Use: Nilicheki tu hiyo dinga iki kamu omole = I just saw that car coming slowly
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Oh-moh-lee ]
Relate: Kiasi Pienga Ndonye Donye Donyele
Variations: -,
History: From Swahili word "pole pole" which means slowly
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest