Origin: Unknown
Use: Nani huyo anabonga hasapa kwa ofisi okuyu? = Who is that that is speaking the Kikuyu language in the office
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ooh-koo-yoo ]
Relate: Biz Doo Mungich Mathree
History: From the word ''Kikuyu''
No replies yet. Start the conversation.
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda