Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati