Origin: Unknown
Use: Ni siku mob since ni dimbue nyagus = Its long since i ate meat.
Period: Early 2000
Pronounciation: (Noun) [ nyah-goos ]
Relate: Food
History: Derived from the swahili word '' Nyama'' which means ''Meat''
No replies yet. Start the conversation.
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic