Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Sistako mshort aneza temebea chini ya bed
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent