Origin: Unknown
Use: 1. Nime uma tu njaro hapa = I'm just chilling here 2. Makanga wa namba tisa wana njaro zingine noma za ku dondoka kwa mat jo! = Number 9 matatu touts have some hot styles of dropping off their matatus.
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ nja-raw ]
Relate: Pozi
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack