Origin: Unknown
Use: Uki come utanipata tu nimtaa = You will find me at home when you come
Period: Late 90's
Synonyms: Maskan
Pronounciation: (Verb) [ Nee-m-taah ]
History: Revesed from the swahili word '' Mtaani''
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack