Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut