Origin: Unknown
Use: ma ngweru wamukacha piwa - where have my boys gone to
Period: Late 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ng-we-ru ]
Relate: wasee
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga