We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"