Origin: Unknown
Use: Naskia nikitamani ngoks leo = I'm in the mood for some chicken today
Period: Late 90's
Pronounciation: (Noun) [ ngo-kss ]
Variations: Ngox
History: Derived from the Kikuyu word, Nguku which means "a chicken"
Clarification: Not to be confused with Goks which means "Khat",
No replies yet. Start the conversation.
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.