Origin: Unknown
Use: 1. Si u nione ngoko wahed! = Gimmie one chicken. Na si kuna mangoko hapo? = What?!! isn't that place full of chicks!
Period: Early 90's
Synonyms: Mude, Mbus, Supu, Shpleng, Atoti
Pronounciation: (Noun) [ ngo-ko ]
Relate: Food Girls, Women, Sex
Variations: Nguku,Ngoks Ngohen
History: From Kikuyu word "nguku" which means chicken and casually used to mean "chick".
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.