Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
ASUBUHI ASUBUHI githeri na colgate.
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai found new hardware.