Origin: Getho 44
Use: Wacha niingie mtaani nidunge nginyera zangu = let me go home and wear my trye sandals
Period: Early 90's
Synonyms: Akala
Pronounciation: (Noun) [ Ngi-nyeh-rah ]
Relate: Njumu
Variations: nginyira, nginyerah,
History: From the Kikuyu word "nginyira" meaning get to me or reach me.
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa