naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai found new hardware.
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?