msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Mathako ana matiti makubwa akimaliza kuoga ye huzifunga na shower curtain badala ya bra
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje