Origin: Unknown
Use: Mwizi alitoka nduthe kwa mako = The thief ran fast from the market.
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ndu-the ]
Relate: Paishwa Paisha Karao Vedi Pinji Bunde Fe Chuom
Clarification: Not to be confused with Nduthi which means a motor bike.,
No replies yet. Start the conversation.
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi