Origin: Unknown
Use: Ile post ikona ndumba ndio kwa maana hawa fungi = That post has witch doctors medicine thats why they are not scoring
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ndo-mba ]
Relate: Madre
No replies yet. Start the conversation.
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch