Origin: Unknown
Use: Mandela alipiga ball na nduki akafunga dude = Mandela scored a goal with a power shot
Period: Early 90's
Synonyms: Futa Dimba Screw Nati Gola
Pronounciation: (Verb) [ n-doo-kih ]
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga