Origin: Unknown
Use: Sitaki kuona ndomoo wowote hapa = I dont want to see any person over here
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ndo-moo ]
Relate: Mjama Mdem Bazenga Mkanya
Variations: -,
History: Reversed from the word MODO of which is a Kikiyu word for a person
No replies yet. Start the conversation.
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
Mathako ana matiti makubwa akimaliza kuoga ye huzifunga na shower curtain badala ya bra
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic