Origin: Unknown
Use: Wase ana vuta ndhom huko bez = guys are smoking bhang' at the base
Period: Mid 60's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ -Ndo-om ]
Relate: Ombitho Ombidho Ngwae Ngwai Shada
Variations: Ndom, Nthom,
History: Believed to have been borrowed from Luo
No replies yet. Start the conversation.
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”