Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.