Origin: Unknown
Use: Tomah hujidai na kumbe ni mwere - Thomas boasts yet he's so useless
Period: Early 2000
Synonyms: Fala Tost Fala dush Ngamwe Todhii Pimbi
Pronounciation: (Adjective) [ M-weh-reh ]
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion