Origin: -
Use: Leo hakuna mwaks, hii paper nime loba = Today we don't have exam leakage, I've failed
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mu-waks ]
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo