First time yako ku-buy ball gum shopkeeper alikugei ya green ukasema 'nataka ile imeiva'
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma