We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
Ati wewe mweusi tu sana mpaka hauna bright ideas.