Origin: Mwandoni
Use: Naishi kwa zile muoroto = I live in those extension houses
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mo-ro-to ]
Relate: Housing
No replies yet. Start the conversation.
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow "Good evening?"
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted