Origin: Unknown
Use: Mudhama wa mine hu spin dishi tamu sana = My mother cooks such a delicious food
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ moo-dha-mah ]
Relate: Mokoro Grannie Shosh Shosho Dem Manzi Mdem
No replies yet. Start the conversation.
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch