Origin: Gigiri UNEP
Use: Mudhabu ameboti moti ingine = My father has bought another car
Period: Mid 90's
Synonyms: Mbuyu Buda Bazenga Mzae Mdosi
Pronounciation: (Noun) [ moo-dhah-boo ]
Relate: Grandmbuyu Grandbuda Guka
No replies yet. Start the conversation.
Budako amechizi, underwear yake imechorwa Saitoti akiosha viombo
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
nyumba yenu imetengenezwa na matope.
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!