una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani