Origin: -
Use: Nimechekii mthii mwingine ako juu = I have seen another person looking good
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mdhii, Mthee ]
Relate: Dondaa Rotejo Mat Nganya
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch