We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma