Origin: Jeri
Use: Ile keja hua na msus ameiva = That house has a very beautiful girl
Period: 2010 - 2013
Synonyms: Mude, Nguna, Dem, Msupa, Manzi, Demu, Supuu, Mbuus, Totois, Mtoto, Mroro
Pronounciation: (Noun) [ m-sooh-ss ]
Relate: Gender
History: Derived from the Sheng Word, Msupa
No replies yet. Start the conversation.
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute