Origin: -
Use: 1. Msupa wa mine ame ishia chuo = My girlfriend has gone to school 2. Na si Liz ni msupa?! = Isn't Elizabeth beautiful?!
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mu-soo-pa ]
No replies yet. Start the conversation.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original