Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta