We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.