ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist