Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
msee ni mweusi hadi difference yake na midnight ni 11:59.