Origin: Unknown
Use: Ile mraiya iko pasale roteji ndio inaenda stadi = The crowd over there at the bus stop is the one heading to the stadium
Period: Mid 2000
Pronounciation: (Noun) [ m-rah-eeh-yah ]
No replies yet. Start the conversation.
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama