Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest