Search
Origin: Unknown
Use: Mochoa hiyo cd kwa machine = Remove that cd from the machine.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ moh-choa ]
No replies yet. Start the conversation.
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu