Origin: Buru 1
Use: Usule mnyathe nimukali = That grandmother she is so harsh
Period: Mid 90's
Synonyms: Mnyanye Shosh Grandmasa Grandmatha Grandmadha
Pronounciation: (Noun) [ Mnya-thee ]
Relate: Masa Mudhama Muthama Antithe Antidhes
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi Asubuhi avocado na arufu ya vitungu
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima