Origin: Unknown
Use: Nina mpango na mndesha ya mine = I have a plan with my salary
Period: Early 2000
Pronounciation: (Noun) [ Mm-nde-sha ]
No replies yet. Start the conversation.
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Budako mblack akilala kwa road madere wanafikiri ni speed bump
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always