Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!