Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Asubuhi Asubuhi avocado na arufu ya vitungu