Origin: -
Use: Mgosa amepita na musi ya Roba kwa jam = A thief stole Robert's phone while in traffic
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mgo-sa ]
No replies yet. Start the conversation.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.