Search
Origin: -
Use: Dankie anapenda sana Mchongoano Dancun love your mama's joles so much.
Period: Early 60's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Mcho-ngo-ano ]
No replies yet. Start the conversation.
ww n mkonde adi unavaanva socks n belt
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu