Origin: -
Use: Niko na CD ya HardKo Ent mbichi!!! Imetoka jikoni tu jana = I have a CD from Hardko Entertainment that's brand new, it was released yesterday.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ mbee-chee ]
Relate: Miscellaneous
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma