Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga