Origin: -
Use: hao ma mban'ga walikam tena - those policemen came again
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mbaa-ngaa ]
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar